ndege ya rais aina ya gulfstream 550 iliyochukwa nafasi ya fokker iliyozeeka na ambayo spea hakuna.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Safi sana hiyo ndege. Mi naikumbuka ile ya zamani nishadandiaga lifti from Dodoma to Dar.

    ReplyDelete
  2. honestly michuzi your doing an exellent job na nakupongeza kwa hilo.thankuverimachii.

    ReplyDelete
  3. Halo ndugu michuzi, Tuhaomba picha ya mzee kawawa tuweke kwenye profile yake huko online encyclopedia (en.wikipedia.org) kama utaweza kuipost hapa tutashukuru sana. Of course opyright oitakuwa bado yako na credit will be clearly stated.

    ReplyDelete
  4. Kadege kenu na nani?

    ReplyDelete
  5. hii siyo ndege ya rais jamani, officially ni ndege ya serikali :)

    ReplyDelete
  6. Ile ya Rais inashabihiana na hii?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...