mfanyabiashara akijioumzisha sokoni tandale

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Machungwa yanatoka kimanzichana hayo.

    http://kimanzichana.jubiiblog.co.uk

    ReplyDelete
  2. Inawezekana kweli yanatoka kimanzichana hayo lakini je kipi kimefanywa kuwakomboa wakulima wa bidhaa hizo wanaoendelea kusota katika wimbi la umaskini.

    Hii inafaa kuwa kipaumbele cha kwanza kwa wizara husika yaani ya kilimo na ile ya masoko wahakikishe wakulima wanafaidika.Hivi kweli malighafi kama hizi tunashindwa kuzigeuza fedha???????!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...