Naona washkaji mnaguna. siwalaumu. ila kwa walio wenyeji wa stockholm watajua niko sehemu gani na nini maana ya KGB. Kama sikosei hata aliko ndesanjo (new york) kuna huu mnyororo wa migahawa ya KGB ambamo ndani mna vibweka kibao vya enzi za ujasusi wa vita baridi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ulifanikiwa kuingia ndani kujipatia japo gahawa au uliishia nje tu?

    ReplyDelete
  2. Swali zuri sana!

    Gawe.

    ReplyDelete
  3. niliingia na kupata vodka, kule pangoni. na chooni sauti ya agent x ilitaka kunitoa mkuku. na muziki wa kijeshi ulinikosha, nadhani kuna haja bongo tukatunga kitu kama Iddi Amin's Cave, au wasemaje semkae, badala ya submarine

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...