Home
Unlabelled
mwawakumbuka hawa?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hapo mzee alikuwa amejiandaa kumkabithi moringe nchi si ndio?
ReplyDeleteNamwona Mzee Aboud Jumbe na Mzee Sokoine.
ReplyDeleteBwana Michuzi sipendi kukuvunjia heshima yako, lakini mimi ni mtaalamu wa kusafisha hizi picha za zamani na kuonekana kama ya jana. Nitumie e mail yako nitakutumia picha nilizosafisha kutoka katika blog hii. e mail yangu ni ...mambohayo@hotmail.com
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteUmeleta utamu wa aina ya pekee kwenye blogu zetu. Ninapenda unatupa picha sio tu za sasa bali za zamani.
Picha hii nimefurahi kumuona Morani wetu. Unaona anavyomcheki Mwalimu? Hivi Mwalimu alikuwa akimuogopa?
Ndesanjo, hakumuogopa bali alikuwa anamzimia kwani alikuwa ana uwezo/gut wa kutekeleza yale ambayo yeye alikuwa anayaona ndoto....mfano wakati huo alikuwa haangalii makunyazi na alijiandaa kuwapiga chini kuanzia kina cleopa wakati nyerere sana sana alikuwa anawachekea na kuwabadilisha kituo wakiboa!!- nyerere alipata pigo sana kwani kwa kipindi hicho aliishajiandaa kumwachia nchi!
ReplyDelete