hapo na-chill na 2Face Idibia, m-Nigeria anayetisa kwa nyimbo kibao, ukiwemo ule wa 'You are my African Queen' uliomfanya ashinde tuzo ya Kora 2005 ya mwanamuziki bora Afrika. hapo ni leaders club alipokuja bongo hivi karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Sing'ing for africans wearing like Americans.How comes!!!!!!!!!!!1

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...