
JK akila gahawa na bw. harusi iddi janguo na baba wa bw. harusi mzee athumani jaungo muda mfupi baada ya ndoa kufungwa. kwa wasio waislamu ni kwamba ndoa hufungwa baina ya baba mkwe na muoaji na sheikh, baada ya ridhaa ya bi. harusi, na ndipo maharusi huungana baada ya hafla kama hiyo hapo juu. mtu asijeuliza bi harusi yu wapi...
Wazaramo wanamaindi sana wanawake weupe hongera zako Iddi umepewa toto hana hata kovu usijemfanya gunia la ngumi
ReplyDeletehawezi kufanywa gunia la ngumi. Kimanzichana hatudundi wanawake,
ReplyDeleteHivi huyu Janguo ni ndugu ya Janguo aliyefungwa America kwa kesi ya wizi wa ya fedha?.
ReplyDelete