
Pichani ndo kikosi cha kwanza cha timu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania, maarufu kama ari mpya stars a.ka. kasi mpya rangers a.k.a nguvu mpya united. Kutoka kushoto ni waziri kiongozi wa zanzibar nahodha, makamu wa rais dr. ali mohamed shein, rais jm kikwete na rais wa zanzibar amani abeid karume na waziri mkuu edward lowasa
sawa brass tumeiona....si mbaya. tunasubiri kuboresha maisha bora kwa kila mtanzania. wakiuhitaji mchango wetu watapata kwa roho moja!
ReplyDeleteSuti zote hizo gharama zake zinatosha kununulia ambulance moja katika hospitali moja ya mkoa!
ReplyDelete