Hapa nipo Toulouse kwenye kiwanda cha kuunda madege ya Airbus... Hii ni katika kuendeleza mjadala wa jamani mlio huko rudini hom. roho iliniuma sana kukuta hakuna hata mmbongo mmoja kwenye viwanda vyote ya Airbus, tokea hapo Toulouse, Hamburg, UK na Spain. Hivi mnajichimbiaga wapi huko ughaibuni mlikong'ang'ania?
Home
Unlabelled
Ughaibuni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
duh kumbe na wewe ulikuwepo kwenye msafara wa kununua ile gulfstream ya muhishimiwa sana? kwa mwendo huo lazima bongo uione tamu, na kale kawimbo kanachomkuna sana ben lazima unajua kukaimba vesi zote!
ReplyDeleteMark, no research; no right to speak. nimesema Airbus 380, last month in Toulouse, France. ndege ya rais ni Gulfstream 550 from US. Mie najifunya urubani, nilienda huko kwa hilo. naanza kupata wasiwasi nawe, kwa jinsi unavyotaka kuleta ushabiki wa kutaka sifa badala ya kuchambua mambo kwa kina kama wenzio. vipi mjomba? na hapo uko bongo, je ukiulopo na kwenda huko itakuwaje? ndesanjo naomba unilinde na huyu mtu
ReplyDeleteduh hiyo ni tamu sana. kwa mimi sasa hivi viwanja vya watu nimeisha vichoka-nimezunguka mno. nadhani kuulopu kwangu ni kurudi bongo.
ReplyDeletehongera kwa kuingia kwenye fani ya urubani. inatia moyo kwamba kutakuwa na idadi nzuri ya marubani wazawa huko tunapokwenda...hili pia ni la kusifiwa!
hili la kuchambua kwa kupata sifa usiliangalie sana. ndio mambo ya blogu, isitoshe wengine wetu hakikupanda kisawa bado tunahitaji kujifunza zaidi pia! uchambuzi pia unategemea aina ya habari kama inahitaji uchambuzi au la! - karibu sana tuko wote!
cheers
Michuzi mbona mkali kaka maana Mark anawaza namna ya kurejea Bongo nafurahi unamuonyesha wazi kuwa hata wewe ughaibuni ulikuwepo na bado unakuja na unakaa Bongo kwa hiyo na yeye akimaliza shule arudi. Hii ndiyo hoja na si kwa kuwa masuala ya kimaisha ya Michuzi ni safi kwa kuwa anafanya kazi serikalini. Nyumbani ndugu zangu, tutafute tupate kisha turejee na hasa tujifunze kupaendeleza kwetu ili wageni wafurahi kuishi pia. Si unaona mambo ya ndugu zetu wa Kenya sasa wanagombania kuishi Tanzania na hata Afrika Kusini wanagombania kuwekeza Bongo kwa nini tusipapemde na kupaendeleza? Michuzi endeleza kauli mbiu tuko sambamba nawe na wewe Mark utani mwingine utatolewa ngeu maana unatania hata waliokuzidi umri, wapi tabia hiyo wewe umepata?
ReplyDeleteMswahili akipata bwana!!!!
ReplyDeleteGawe.
huyu waziri mpya wa mambo ya nje ameongea kiakili sana. na wako kwenye line safi na kikwete. kimtindo ametufagilia wanaglobu! hii inji naona inajengwa sasa.
ReplyDeletehttp://www.ippmedia.com/ipp/nipashe/2006/01/10/57474.html
cheers,
mark ntumie picha yako issamichuzi@gmail.com nataka nikuone maana wengine tumeoa huko uliko. isije ikawa taabu endapo u shemeji yangu halafu unanisanifu (hahaha...)
ReplyDeletemark ntumie picha yako issamichuzi@gmail.com nataka nikuone maana wengine tumeoa huko uliko. isije ikawa taabu endapo u shemeji yangu halafu unanisanifu (hahaha...)
ReplyDelete