mchezaji wa yanga akipambana na wa ulinzi ya kenya jana kwenye uwanja wa taifa dar. kwa nyuma wanja la kuingia watu 60,000 linazidi kujengwa, na litaisha desemba mwaka huu. Acha!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michuzi caption haijakamilika tutajie majina kaka maana najua unayajua au hukuchukua line up ya timu kabla ya mchezo kuanza? Ni utani tu

    ReplyDelete
  2. nadhani lengo la michuzi ilikuwa ni kueleza kuwa kuna uwanja mpya, mkali, wa bn zaidi ya 50 unaojengwa. si wachezaji

    ReplyDelete
  3. Michuzi hilo likiwanja likikamilika watu wanaamini tutaenda kombe la dunia.
    Wamesahau hata hapa Uganda lipo lakini mambo ya soka ni michosho tu kama hapo bongo.
    Yangu macho.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...