wenye kumbukumbu hebu tupeni majina ya walume hawa...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. huyu simba wa vita na jamaa zake. jamjuah

    ReplyDelete
  2. majina mboni yanapotea yule namba 11 wa pani akiitwa nani? halafu Ngulungu naye

    ReplyDelete
  3. nadhani hapo walishaanza kurekebisha mambo ya jezi!

    ReplyDelete
  4. Mstari wa mbele kabisa wa pili toka kushoto namuona Joel Bendera, Kocha Hudson, Kawawa, Charles Boniface Mkwasa.....wengine mstari huo wamenitoka.

    Mstari wa katikati: Wa pili toka kushoto namuona Lila Shomari,Peter Tino,(watatu wanaofuata siwakumbuki) then namuoan Abeid Mziba, na mwisho kabisa naumona Doto Ruta Mokili.
    Msatri wa nyuma siwakumbiki

    ReplyDelete
  5. Kama ni kweli Fadhil kazi nzuri. Tengeneza kablogu kako.

    ReplyDelete
  6. Nimewakumbuka wawili watatu zaidi:
    Mstari wa katikati: Wa pili toka kushoto Lila Shomari,Peter Tino,anayefuata simkumbuki then Athumani Juma Chama
    Msatri wa nyuma Kutoka kushoto wa kwanza simkumbuki then yupo Hamisi Kinye,anayefata simkumbuki, then Musa Kihwelu,Carlos Mwinyimkuu,Ahmed Amasha,

    ReplyDelete
  7. mstari wa mbele kutoka kushoto simkumbuki, joel bendera, rudi gutteldolf, kawawa, boniface mkwasa, yule mchua misuli maarufu na omari hussein. mstari wa kati kutoka kushoto hussein ngulungu, lila shomari, peter tino, simkumbuki, athumani juma chama, pazi, abedi mziba, simkumbuki, simkumbuki. stari wa nyuma octavian mrope, hamisi kinye,simkumbuki mussa kihwelu, carlos mwinyimkuu, ahmed amasha, raphael paul, simkumbuki, simkumbuki.

    ReplyDelete
  8. mstari wa mbele kutoka kushoto simkumbuki, joel bendera, hudson, kawawa, boniface mkwasa, kopa na omari hussein. mstari wa kati kutoka kushoto hussein ngulungu, lila shomari, peter tino, simkumbuki, athumani juma chama, pazi, abedi mziba, elisha john, dotto luta mokili. mstari wa nyuma octavian mrope, hamisi kinye,simkumbuki mussa kihwelu, carlos mwinyimkuu, ahmed amasha, raphael paul, simkumbuki, simkumbuki.

    ReplyDelete
  9. muhidin.....naomba kama unaweza kuniwekea picha za zamani za timu ya coastal union ya mwaka kati ya mwaka 86 hadi 88 wakati huo coastal ikitamba sana, kipindi hicho nilikuwa nikisoma pale tanga school nakumbuka nikienda mkwakwani kuwaona kina juma mgunda na hussein "ruga" mwakuluzo wakitesa, je? unaweza kumiambia yuko wapi mwakuluzo sasa hivi? maana sijamsikia siku nyingi alikuwa ni kivutio cha aina yake kumtizama akisakata soka enzi hizo, please help. john michael, dar

    ReplyDelete
  10. hussein ruga mwakuruzo yupo london anakula kuku pamoja na wenzake akina abdallah shamuni, wenzao kina saidi kolongo na yasin napili wapo tanzania.

    Saidi Kolongo maskini kakamatwa mambo ya madawa! si unajua tena ari mpya na kasi mpya.

    Juma Mgunda ni caretaker wa coastala union.

    ReplyDelete
  11. Duh ee bwana sikuwa na habari kwamba Kolongo kaisha.Zama hizo golini anasimama Mwamba,said,Douglas,Hassani,Elisha,Maumba,Aggery,Kassa,Mgunda,Huseein,Abubakari

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...