na hawa je? MtiMkubwa Mkavu upooooo?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Tafadhali, hii Mwenge Stars ipi ya kina Mahmoud Abbas, Magongo, na wengineo?

    F MtiMkubwa Tungaraza.

    ReplyDelete
  2. hapana mti. kukupa hint kuna kina abdul (sio ahmed) amasha, zamoyoni mogella, raha msigalla etx

    ReplyDelete
  3. Muhidin,

    Hii UMISETA ngoja niwatafute washiriki wa UMISETA halafu watakujia na list nzima.

    F MtiMkubwa Tungarza.

    PS/Usilitupe kapuni ombi la picha ya timu ya netiboli ya BIMA. Ikiwa kwa bahati mbaya huna muombe Asha Baraka nina hakika atakuwa nazo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...