Home
Unlabelled
afta pati ya tok
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hawa sio watamu kama wale wengine,wachezeza mduara. hawa wamepinda migongo bwana.
ReplyDeletehawa ndio washiriki wa miss world africa nini?tafadhali elimisha mimi
ReplyDeletenaam hawa ndo wenyewe, na miongoni ,mwao alipatikana yule miss pasonaliti aliye piga picha na Rais.
ReplyDeletejamani sio hawa.hawa ni washabiki tu wa muziki wakijiburudisha
ReplyDeletemichuzi ebu twambie kweli, eti kweli hawa ndio mamisi walioshiriki kwenye mashindano?
ReplyDeletemambo yako michuzi mazito
ReplyDeleteEbana Michuzi naomba nikurekebishe kidogo, samahani lakini mkuu.Hii sio ngoma ya Kisauz, hii ni ngoma ya Kimarekani, ila tu wimbo ule wa kisauz ndo watu wanapenda kuchezea hii ngoma.
ReplyDelete