mark msaki kwa umaridadi tu, hujambo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. mababu hawa wataalam sana kwa kupiga watu vipara. ila kwa hali ya siku hizi nenda na vifaa vyako mwenyewe. hatari!

    ReplyDelete
  2. teh teh tehh!!
    wameshawahi nini kukupiga kipara!

    ReplyDelete
  3. unajua kiswahili kimepanuka sana siku hizi, watu hamkawii kueleweka vibaya na viswahili mnavyotumia.... Anony tafadhalini jamani!

    ReplyDelete
  4. napenda sana kutiwa kibara na hawa mababu vinyozi,huwa wanazungumza maneno matamu sana huku wakiendelea na shughuli.
    si unaona kijana alivyotulia hapo.

    ReplyDelete
  5. ni sawa kupigwa kipara kama mzee msaki anavyoonekana, na zamani wetu walikuwa wakitumia njia hiyo kupunguza ama kuondoa nywele zao, na walikuwa hodari sana wa kupiga vipara, lakin kwa sasa hali imetibuka, si shwari tena, imekaa pabaya jamani, mambo ya UKIMWI si unajua, tena, kwa uhakika nenda na kila kitu chako kwa usalama zaidi

    ReplyDelete
  6. kupigwa kipara maana yake ni kunyolewa kipara,na pia kwenda na vitu vyako maana yake ni kwenda na vyomba vyako vya kunyolea kwasababu sikuhizi haya magonjwa ya kuambukizana ni hatari,
    nafikiri tumeelewana vizuri.

    ReplyDelete
  7. 'Anonymous' mmezidi. kwa nini hamtaki kujitambulisha? au ndo mnataka kutuletea maneno ya kihuni kwenye gazeti letu tando na tukufu?

    ReplyDelete
  8. tulia wewe unakulakula kalamu utafikiri unafanya PHD,
    hii ndio world wide web au kwa kifupi www.
    accessible by anyone from any where so expect anything dont be shocked!!

    ReplyDelete
  9. ila huyo jamaa yangu namshangaaga! wakati mashine nakwenda nayo mwenyewe (kuogopa ngoma)..na najua wazi kuwa kodi halipi lakini ni usawa wa 500 kama saluni za kueleweka! eniwei huwa ninajua namsaidia..na weye michuzi ulichukuaje picha bila radi kupiga? maana ingepiga tu ningekuona!

    ReplyDelete
  10. sasa hivi vitambi kama vya ndumilakuwili vinatoka wapi tena humu kwenye picha!

    ReplyDelete
  11. Ama kweli Tanzania nchi huru, huu ukuta wa wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...