Home
Unlabelled
bomoabomoa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hili jengo lililo nyan'ganyan'ga mbona kama jengo la Biashara Consumer Ltd,juu tawi la CRDB likitazamana na Posta? naona kanisa la Anglikana kwa mbali na Kempiski yetu(toba,sijui leo hii hotel hii inaitwaje,kila kukicha tunabatiza jina jipya tu!)
ReplyDeleteHapo hakukuwa na petrol station hapo? Pako upande wa pili wa jengo la Haidery kama unaelekea Azam Bakhersa ya mtaa wa Jamhuri. Mike, Kempinski unaifahamu wewe? Ni K'njaro Hotel ya zamani. Unachoona wewe ni BoT Millenium Towers kutoka kulia, halafu Posta House, St. Albans Church na Wizara ya Mambo ya Ndani.
ReplyDeleteHapo ni town, kanisa la kiangalikana la Mt. Albano linaonekana kwa karibu, na kwa nyuma zaidi (kuanzia kushoto kwenda kulia) ni Uhamiaji, Kitega Uchumi cha posta na PPF Towers. (Sio Millenium Towers, Millenium lipo kijitonyama)
ReplyDeleteNa pia huwezi kuiona BoT kwa hapo, minara yake imezibwa.