nilikua kampala kwa mafunzo ya uhariri na nilipangwa gazeti la new vision kwa mazoezi. nyuma makao makuu ya ne vision na ukutani ni matoleo ya gazeti hilo la serikali ya uganda linalojiendesha kibiashara kama sisi hapa deliniuzi ambapo hatupati ruzuku kama wengi wanavyodhania

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Michuzi ni kweli inabidi mujirekebishe na kuanzia juu viongozi wengi waliokabidhiwa vyombo vya serekali wana mawazo mgando (wamezoea kukariri).... lazima wawahudumie vyema kwani mnafanya kazi kubwa na ile ile inayofanywa na wenzenu. ona habari mtandaoni daili nyuzi ni noma!! kaka yangu alisikitika siku moja alikuja hapo kutuma tangazo la kifo na ilimchukua zaidi ya saa, wakati alipoenda guardian ndani ya dakika 15 aliishaondoka eneo la tukio!! kwani JK hatembelei huko?

    ReplyDelete
  2. Michuzi I have nothing against you, lakini hivi kweli kuna mtu bado anasoma Daily Noise kama mdogo wako Mwaipopo anavyopenda kuiita? Mnawezaje kujiendesha kama mnauza nakala chini ya alfu mbili kwa siku?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...