Home
Unlabelled
Daladalaz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwamtindo huu lazima watoto wa shule wa kike walaghaiwe sana na madereva na makondakta
ReplyDeleteNimenyanyua mikono!! kuanzia sasa nimekubali ushauri.
ReplyDeleteHalafu kwa kukumbusha tu. Heka heka zetu za kudai usawa wa kijinsia hazihusiani kabisa na mambo yanayohitaji nguvunguvu, kwa hilo tunakubali hatuko sawa.
Asante.
Duh, Michuzi hii kiboko sana. Ndio maisha yetu yaalivyo hayo. Swali nani ameliua UDA?
ReplyDeleteLondo
Michuzi yaani acha tu, huyo mshikaji wa mbele namfahamu ni Graduate Mlimani? Yaani hata leo hajaacha kukimbilia mabasi kwa nguvu kama alivyofanya akiwa kule Mabibo Hosteli tu?
ReplyDelete