we damija, nimekuambia hama vinguguti uje kariakoo, umegoma. ona sasa washindwa panda basi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kwamtindo huu lazima watoto wa shule wa kike walaghaiwe sana na madereva na makondakta

    ReplyDelete
  2. Nimenyanyua mikono!! kuanzia sasa nimekubali ushauri.

    Halafu kwa kukumbusha tu. Heka heka zetu za kudai usawa wa kijinsia hazihusiani kabisa na mambo yanayohitaji nguvunguvu, kwa hilo tunakubali hatuko sawa.

    Asante.

    ReplyDelete
  3. Duh, Michuzi hii kiboko sana. Ndio maisha yetu yaalivyo hayo. Swali nani ameliua UDA?
    Londo

    ReplyDelete
  4. Michuzi yaani acha tu, huyo mshikaji wa mbele namfahamu ni Graduate Mlimani? Yaani hata leo hajaacha kukimbilia mabasi kwa nguvu kama alivyofanya akiwa kule Mabibo Hosteli tu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...