jamani hili ndilo bwawa la mtera na hivyo ndivyo jinsi maji yalivyokauka. mvua isiponyesha ndani ya mwezi mmoja ujao, tumeumia kwani uzalishaji umeme ndo utakuwa kaput kwa asilimia 70

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. wakubwa wanunue maji na pesa walizoiba! kcc.

    ReplyDelete
  2. Hii kwetu naiona kama ni adhabu yetu sisi kwa kuchagua viongozi bongo lala wasiotambua rasilimali mbadala za nishati tulizonazo nchini.Hii gesi na makaa ya mawe tuliyonayo hawajui kazi yake!!!!
    Labda tusubiri babayetu jakaya alifanyie kazi hili kwa ari,nguvu na kasi mpya

    ReplyDelete
  3. jakaya naye mzushi tu, anachekacheka sana na ahadi nyingi utafikiri bongo sawa USA!

    ReplyDelete
  4. Michuzi ina mana hizi mvua za vurugu hazina msaada wowote hapo? mark

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...