pale jukwaa kubwa neshno stedium yanga huketi kushoto na simba kulia. grini stendi yanga juu simba chini, mpaka ni mtambaa panya kama uonavyo. mwaipopo upo hapo? usije ukakaa sipo halafu ukapata dhahama kwa kushangilia sivo ndivo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ninapotakiwa kukaa napajua kama njaa vile. Mimi hukaa jukwaa kuu upande wa kulia(kama unatazama kiwanjani)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...