Home
Unlabelled
kivuli
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi leo umenipa jibu ambalo hunisumbuga mara nyingi, kumbe picha za namna hii hupigwa kwa kuelekeza kamera utokako!!. Fungua kiungo hiki uone picha ambazo huwa sizielewi upigwaji wake.
ReplyDeletehttp://www.beczak.org/Sunrise%20&%20Sunset%20058.jpg
**Swali: Je picha hizo za jua nazo hupigwa kwa namna hii uliyotueleza hapo chini?
Mwalimu Michuzi naomba darasa.
hiyo picha ya jua litualo haina tofauti sana na hiyo yangu, ila sema imepigwa jioni sana ambapo mwanga wa jua ni hafifu na pia una rangi ya dhahabu. ili kupata picha namna hii yakubidi uwe pia na chujio (filter) ya mwanga-wa-anga (skylight) inayosaidia kuondoa ukungu ule wa buluu uonekanao kama wapiga picha uwanda wa nchi (landscape). nadhani tupo pamoja. lete tu swali lolote kuhusu picha za dijito ama asilia, ntajitahidi kujibu. nikishindwa ntakuomba tudese mahali
ReplyDelete