jk akiwa na mk nairobi leo alikoshuka akitokea rwanda na uganda ktk ziara yake ya kwanza nje ya nchi hizo jirani toka awe rais

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. hili zee la kikenya liko unda greti presha, muangalie alivyojaa mawazo,yuko mbali,ofisini akukaliki Bwana Githong`o ametoboa siri kubwa ya ufisadi,tumeona mpaka video footage mawaziri wanapiga deal.
    tunataka kina Githong`o wa kitanzania watoboe siri za wazee wetu,tuwajue mafisadi wetu.MUngu ibariki TZ na Rais wake.haya ni mawazo yangu,jamjuah.

    ReplyDelete
  2. big up Jamjuah. na ukitaka link ya hadithi hiyo (ripoti aliyoandika Githongo) iko kwenye blogu ya www.harakati.blogspot.com ya kaka Jeff.

    lakini Jk smart. si umeona huko kwa MK ameenda mwishoni? inamaanisha nini?

    ReplyDelete
  3. DONT THINK KAMA NDO FIRST TIME JK KUPANDA PIPA SINCE SWORN IN???? WAT ABOUT HIS SUDAN TRIP??

    ReplyDelete
  4. hii ilikuwa ni ziara yake ya kwanza rasmi kama rais wa nchi kutembelea nchi, na si kuhudhuria mkutano, sawa bw. mo-faya? na juzi kapokea rais wa komoro na kuifanya ziara hiyo iwe ya kwanza tangu awe rais. tupo wote?

    ReplyDelete
  5. poleni kwa sura aliyovalia Kibaki. Anachemshwa na Gothongo na kujiondoa kwa LDPs serikalini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...