Home
Unlabelled
jk akwaa pipa kwa mara ya kwanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hili zee la kikenya liko unda greti presha, muangalie alivyojaa mawazo,yuko mbali,ofisini akukaliki Bwana Githong`o ametoboa siri kubwa ya ufisadi,tumeona mpaka video footage mawaziri wanapiga deal.
ReplyDeletetunataka kina Githong`o wa kitanzania watoboe siri za wazee wetu,tuwajue mafisadi wetu.MUngu ibariki TZ na Rais wake.haya ni mawazo yangu,jamjuah.
big up Jamjuah. na ukitaka link ya hadithi hiyo (ripoti aliyoandika Githongo) iko kwenye blogu ya www.harakati.blogspot.com ya kaka Jeff.
ReplyDeletelakini Jk smart. si umeona huko kwa MK ameenda mwishoni? inamaanisha nini?
DONT THINK KAMA NDO FIRST TIME JK KUPANDA PIPA SINCE SWORN IN???? WAT ABOUT HIS SUDAN TRIP??
ReplyDeletehii ilikuwa ni ziara yake ya kwanza rasmi kama rais wa nchi kutembelea nchi, na si kuhudhuria mkutano, sawa bw. mo-faya? na juzi kapokea rais wa komoro na kuifanya ziara hiyo iwe ya kwanza tangu awe rais. tupo wote?
ReplyDeletepoleni kwa sura aliyovalia Kibaki. Anachemshwa na Gothongo na kujiondoa kwa LDPs serikalini.
ReplyDelete