Home
Unlabelled
kamati ya harusi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi nipe jina la huyo bwana Harusi maana namfananisha na mhaya mmoja hivi ambaye kabla sijaeleza sana kwanza nihakikishie ili nijue huyo binti mlipomgawa.
ReplyDeleteOOH mICHUZI HUYU SI Kashaga Frateline, aliyemaliza hapo UDSM HAO VINGINEVYO? eNEWEI BWANA ANONIMASI HATA MIMI NADHANI NI HUYO ILA MICHUZI ANAWEZA KUTUPA STORI ZAIDI. Huyu jamaa kwa kuacha marose noma saana sijui kama ndiye huyu kaoa.
ReplyDeleteeeeeeeh!! mbona mnatutisha!... huyu bwana inaelekea hatari huyu!!!! kwa mnaomjua kwani nia aje?
ReplyDeleteMichuzi mkao wako wa aibu inaonyesha hujiamini kama kweli ulitoa mchango wa kufanikisha hiyo shughuli!!!Au ni mambo flani ya shibe???
ReplyDelete