Home
Unlabelled
manzese
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yaani hakuna mabadiliko kabisa Michuzi. Ok ngoja niishie hapa tu.
ReplyDeletenasikia hawaruhusu kujenga gorofa mitaa hii, kwasababu utachungulia watu kwa juu juu wakioga kwenye vyoo vya pasipoti size. hata ilo gorofa wamesema livunjwe! "kcc"
ReplyDeleteAfadhali naona maendelo kidogo maanake ilikuwa usumbufu mtupu hiyo barabara. Watu walikuwa wakivuka barabara kila wakati na ajali zilikuwa daily.
ReplyDeleteNakumbuka hayo maeneo sana kwani mara yangu ya kwanza kuingia dar nililala guest moja iliyopo hapo inaitwa Mbokomu Lyamha Inn yaani kuna joto sijapata ona.Nilikua natokwa jasho hata nikiwa bafuni naoga.
ReplyDeleteNaona Manzese si Manzese ile ya zamani yaani SLUM.
ReplyDeleteAsante Michuzi.
Na kweli wakubwa, wadogo, wazee, watu waliotoka vijijini waligongwa pale karibu kila leo! Ilikuwa balaa.