wastaafu wa iliyokuwa jumuiya ya afrika mashariki wakingoja chao hazina mwaka jana. wengi tayari wameshalipwa, waliobaki (wengi wao warithi) wako katika harakati za kuthibitisha uhalali wao. lakini kazi iliwapata kudai chao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hii ni sifa mbaya kwa nchi yetu jamani.Hivi kwanini wazee wa watu wakateseke kwenye hivi vibaraza baada ya kulitumikia taifa kwa miaka mingi hivyo??Hapa Canada mtu angeshafutwa kazi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...