tofauti na ndoa ya mkeka (iso rasmi) na ya kawaida ni kwamba ya mkeka hakuna shaba kama hii ya kawaida ambapo jamaa wamekaa mkao wa kula wakingoja sahani la pilau huku wakiwa wameshanawa (maji) kiasi cha nusu saa iliopita. makene nakuona udenda wakutoka hapo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mimi hizo pilau sikuwahi kwenda Michuzi, ila nasikia mashehe huwa wanakwenda na ndizi kabisa ndani ya kanzu hilo ni la kweli kwani?

    ReplyDelete
  2. MBONA HAPA SIONI KANZU NA MAUSTAAZI? AU WAMEBANIWA?

    ReplyDelete
  3. Nijibuni swali langu katika picha ya chini hapo. Nimependa sana ndoa za mkeka lakini sijui undani wake.

    ReplyDelete
  4. Karibu Zanzibar mwaipopo utazifahamu vizuri sana.Wewe utakapokuja jaribu kuchombeza vitoto vya watu tu uwaambie tukutane sehemu flani mitaa ya jioni.Hapo utakua umezifahamu practically

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...