toka shoto ni kibiriti wa sisi tambala, teddy mbaraka wa tatunane na james mbunju wa simba theatre. hawa wote bado wanaendeleza libeneke

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Naomba nifikishie salamu zangu.

    ReplyDelete
  2. libeneke yani mabibi? mbona wakubwa teyari?

    ReplyDelete
  3. Michuzi, tatunane kwani ipo tena? Mara ya mwisho nilijua kuwa Teddy alikuwa kwenye kundi la Amani Ensemble (ambalo nalo napenda kujua habari zake).

    Halafu: kulikuwa na kundi moja likiitwa Vichwa Ngumu. Je bado lipo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...