ah, na ukame huu acha mtimkubwa asaidie kwa kutumia ukulima wa umwagiliaji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Nikiwaambia-ga wabongo wenzangu hapa Mtoni kuwa Bogno kuna raha wanabisha. Ona sasa you can do it anywhere and no nothing is gonna happen to you. Jaribu kufanya hivyo Manhattan.

    ReplyDelete
  2. Huyu jamaa ingekuwa kiwanja (mtoni) angekamatwa na kupewa faini na pia fine ya masaa zaidi 24 ya ku - provide some community care services

    ReplyDelete
  3. Mwaipopo, Makene, Ndesa, Msangi mdogo na wengine...bado zamu yetu! ya Jeff na tunga teyari! ila hadi sasa swali ni je nani anaharibu zaidi? Jeff au Tunga?? ahu ahu ahu !!

    ReplyDelete
  4. Muulizeni makene vizuri anayajua sana haya mambo!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. Wewe Fikra yaani kila kukicha una mimi tu, mimi hayo niyajulie wapi wakati vijijini kwetu Mikuyu, Nyambono, seka Kaburabura, Nyamurandilila n.k kuna policy ya mazingira tangu nikiwa mdogo? Sijui hapo ni Dar maana hicho kijiji kikuu cha Tanzania kinahaibisha sana lakini vile vya kwetu huko wala hatuna mambo haya.

    ReplyDelete
  6. Michuzi,
    Picha hii inabidi umpelekee na mheshimiwa Mengi,au siku hizi sio mwanamazingira tena?Lakini sijui akiuliza swali "niende wapi sasa" nani atamjibu

    ReplyDelete
  7. huyu ni mwaipopo kwa nyuma, anakojoa huku anacheka!

    ReplyDelete
  8. Jamani mjini kugumu ndugu zangu.Hebu fikiria,wewe mtu kwa siku kipato chake ni 300/= halafu gharama za kujisaidia ni 200/= sasa katika hali kama hiyo wafanye nini hao waheshimiwa kama huyu????

    ReplyDelete
  9. Fikra umepozi swali moja la msingi sana!!!!!!!!!!!!!!!! kweli wewe ni Fikra thabiti kweli kweli maana sie tuliishaishia kwenye utani!!hivi kweli tunaongea na kufanya utani na kucheka! lakini kuna ujumbe mzito sana ndani ya swali la picha hii!! gharama za kukojoa ni ishu ikilinganishwa na kipato! hongera sana fikra kugusa ulipo mfupa! hili ni swala la kufanyiwa kazi! kwa sasa pole sana Tunga, tunaelewa kuwa jaribio hilo ni la hatari sana ukizingatia kuwa wakwe wako mitaa ya karibu karibu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...