
hii ndo nyumba ambayo miss tanzania na miss world africa nancy sumary aliahidiwa. cha ajabu hadi leo hajakabidhiwa na nimeongea na lundenga leo analeta hadithi ndeeeefu. nasikia wenye nyumba wana mgogoro wa kifamilia ndo maana hadi sasa hakijaeleweka. mdhamini ocean sandals ndiye aliyeitoa na akasema ina thamani ya milioni 70 za madafu. mwaka huu mdhamini ni vodacom
Mimi ndo maana hata sishangai huyu Nancy kukataa kushirikiana na hwa matapeli wakina Lundenga...Hivi hii kamati ni hiko chini ya serikali au wameiombea copyrights wawe wanaendesha wao peke yao? Na hipo chini ya wizara gani? Na sio kitu cha kutolewa dhabuni watu wagombee kuunda kamati kuandaa hiyo miss Tanzania? Kwasababu unakuwa mradi wa watu fulani fulani badala ya kutakiwa kuwa chombo ambacho kinamilikwa na serikali....Isaac Mgwassa
ReplyDeletemie nawaambia ndenga simbilivu nyie mnamtetea. umefika wakati hawa watu wabanwe sio waendeshee hivi vitu toka kwenye begi halafu wanajiita miss tanzania. namuunga mkono aliyetangulia kuwa lazima kuwe na namna za kuidhibiti kamati ya miss tanzania
ReplyDeletemark