sina uhakika kama wengi mnahusudu 'abstract' (ndesanjo/makene naomba tafsiri yake kwa kiswahili) ila mie mara moja moja huwa najikita kwenye sanaa hii kwa kutumia kamera. hapa ni nyumba ya sanaa katika mojawapo ya maonesho ya kila ijumaa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Mtihani mgumu kuhusu neno la Kiswahili la "abstract." Ngoja nitafiti, ila kama anayejua atufahamishe. Sanaa hii mimi nami naipenda sana. Ila zamani niliipenda kupita kiasi, siku hizi upenzi umepungua. Ila sanaa yenyewe ilikuwa ni ya kuchora. Hii ya pich za kupiga naona inaweza kurudisha upenzi wangu. Ndio umefanyaje hapo Michuzi? Eneo lako lako la kujidai hili, tuelimishe.

    Tafadhali weka picha zaidi za namna hii.

    ReplyDelete
  2. hii kitu mimi nilijua ni maonyesho ya "kazimoto"-Fireworks Show!Laah! jamjuah

    ReplyDelete
  3. abstract --> muhtasari , mihtasari
    Mfano: muhtasari ya mafundisho

    abstract (ART) - adjective
    describes a type of painting, drawing or sculpture which tries to represent the real or imagined qualities of objects or people by using shapes, lines and colour, and does not try to show their outer appearance as it would be seen in a photograph:
    e.g: 1:abstract art
    2: an abstract painter

    abstract - noun [C]
    a painting which represents the qualities of something, not its outer appearance

    abstract (GENERAL)- adjective
    Examples:
    1: existing as an idea, feeling or quality, not as a material object:
    Truth and beauty are abstract concepts.
    2: describes an argument or discussion that is general and not based on particular examples:
    e.g: This debate is becoming too abstract - let's have some hard facts!

    the abstract - noun [S]
    general ideas:
    e.g: I have difficulty dealing with the abstract - let's discuss particular cases.
    So far we've only discussed the question in the abstract (= without referring to any real examples).

    abstraction - noun [C] FORMAL
    e.g: She's always talking in abstractions (= in a general way, without real examples).

    abstract (SHORT DOCUMENT)-noun [C]
    a shortened form of a speech, article, book, etc., giving only the most important facts or arguments:
    e.g: There is a section at the end of the magazine which includes abstracts of recent articles/books.

    abstract noun - noun [C]
    a noun which refers to a thing which does not exist as a material object:
    'Happiness', 'honesty' and 'liberty' are abstract nouns.

    Jamani mie nimejalibu kupata maana kwa Kiingereza twaweza kutafsili kwa kiswahili cha ndani zaidi kupitia hizo maana zilizopo kwa kiingereza.

    Mwisho picha za namna hizi ni nzuri sana maana uonesha wazo la msanii kwa kuingalia kwa undani yaani msanii alikuwa anawaza nini au ana maanisha nini.Kazi nzuri kwa wachoraji wa picha za namna hizi na kwa bwana Michuzi kutuletea picha hizi.Ongera.

    Nashukuru,
    ©2006 MK

    ReplyDelete
  4. Michuzi kupeana mitihani vibaya. Nilichelewa kupita hapa na kwa haraka haraka sasa niweke maana halisi, dhana, wazo. Dhana yaweza kuwa kama fikra hivi. Abstract inabaki fikra ya mtu katika kuzalisha jambo. Nilikimbia somo la Photojournalism pale TSJ maana mwalimu wake alikuwa hajui Kiingereza vema zaidi ya Kirusi. Hata hivyo nadhani nimejitahidi hapo hivyo inabaki kuwa wazo au dhan ya picha hiyo unayo wewe na sisi kubaki kugangua kama kilivyo kitendawili.

    ReplyDelete
  5. Abstract kwa Kiswahili ni ni dhahania au dhana!

    ReplyDelete
  6. dhana au kitu kinachowazika lakini hakiwezi kushikika

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...