
jeff, jeff, jeff, jeffuuuu. hukonmi kwa ni nini. ona sasa hata pa kudondokea huna. we unafikiri yanga na simba mchezo. ona sasa leo yanga kashinda 0-0 kwa mara ya kwanza ndani ya michezo 6 waliyopambana mfululizo. john mwaipopo una haki ya kupiga baragumu usiku kucha kushangilia ushindi huu wa droo leo!


Jefu, kwanini usiwe unajificha chooni toka alfajiri kisha ujitokeze kambumbu likianza?
ReplyDeleteKibao inaanza kugeuka polepole.
ReplyDeleteukijificha chooni utanuka choo mwili msima baba jeff usikubali kabsaaa.
ReplyDeletemimi Lyatonga hapa.
kha mnasema kunuka mmesikia stori ya mshikaji aliwatoroka polisi muhimbili wodini halafu akaingia ndani ya bwawa ya vinyesi...polisi wakalizingira bwawa...huku wameziba pua....katika hali iliyopelekea kuwa yule jamaa si wa kawaida alikaa ndani ya bwawa masaa mawili....ilipoisha masaa mawili akajua kwa vyovyote polisi watakuwa wameishia kuibuka wakamlamba ya bega...amerudishwa muhimbili ila mpaka leo ni kizaa zaa juu ya uwezo wake...
ReplyDeletejeff nakushauri ukubaliane na mpango wa kubana chooni..inawezekana tu tena sana..bora nia!
Kumbe michuzi ni mshabiki wa SIMBA???????
ReplyDelete