simba wa vita rashidi mfaume kawawa juzi katimiza miaka 80 ya kuzaliwa lakini bado tu anapenda kuitumikia tanzania kana kwamba ana umri wa miaka 18. hapa ni katika kikao kimojawapo cha nec, dodoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. kawawa funika kikombe! utapasuka!

    ReplyDelete
  2. jamani hadithi hizo zilikuwaga za kweli?

    ReplyDelete
  3. Ndio waliomnyima Malechela uraisi hawa wakinakawawa.

    ReplyDelete
  4. Kawawa kama vile anahesabu kurasa tu na malecela sijui kasinzia maskini au anakumbukia jinsi kikao hicho tukufu kichama kilivyompiga chini bila ya huruma hata chembe.

    ReplyDelete
  5. we si unaona hapo kafunika kikombe mwenyewe!ametia adabu tangia miaka hiyo haachi kikombe wazi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...