ian mwaisunga (shoto), pili malundila na aloyce makonde wa kundi la dansa la kiafrika la kisasa (african contemporary dance) wakionesha mchezo wao mpya uitwao 'triangle' katika ukumbi wa utamaduni wa urusi. angalia viti vilivyo tupu, kuashiria wabongo hawamaindi kabisa tamaduni. wao ni ndombolo na bongoflava tu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Haswa haswa Twanga Pepeta. Nataka nishiriki sio niona-ge tu, kama ulivyoshiriki wewe pale kweny ngwashala.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...