Home
Unlabelled
wanae daktari hukwe zawose
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wanaitwaje hawa vijana?Hukwe Zawosse na Remmy Ongala ndio wanamuziki kutoka Tanzania ambao CD zao zinapatikana katika maduka mengi ya muziki upande huu wa dunia.Wanamuziki wa kizazi kipya lazima wajiulize,nini chanzo,nini siri na wao wafanyeje?
ReplyDeleteKweli Jeff kuhusu kazi za Hukwe na Remmy lakini kwa mtazamo wangu hawa wakina amazon.com wanawaibia tu hawa ndugu. Wanauza sana lakini nina mashaka na kufikisha mauzo kwa wahusika. Sina uhakika na kufaidi kazi zao kwa wasanii wa nchi za 'ulimwengu wa tatu' ambao kazi zao zauzika huku 'dunia ya kwanza'.
ReplyDelete