nambusu natalia noeli mshindi wa miss photopoint photogenic 2005 mwaka jana. sijui mwaka huu atashinda nani na zoezi la kusaka warembo wapya limeshaanza rasmi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. sasa mwamvuli wa nini michuzi, mvua ilikuwa ananyesha au ni mambo ya promotion?

    ReplyDelete
  2. Mbona unabusu hewa?

    ReplyDelete
  3. aliyepiga hakuwa michuzi!!!

    ReplyDelete
  4. We Michuzi wewe acha hizo,

    Hilo busu ni busu tu au lina mengine, maana hata Diamond siku aliyotwaa taji la Photo Pointi Photogenic ulimng'ang'ania sana
    au umeshaaplai maana wewe uchelewi

    Michuzi kwa mabinti, unatisha shehe

    ReplyDelete
  5. Eee bwana Nchuzi weeeeeee kwa raha dhako kaka wewe waramba tuuu warii tuuu eeeeee ntumeee huyu jamaa nae afaidi wapiga picha wazamani hawajapata raha hizi hebu namie nitafute kamera wakati wa mawali nyenyere usingefanya hivi wewe au maalim seif angekuwa rais ......... Ala-Tuul

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...