gari maalum la upekuzi mizigo bandarini ambapo kontena haina haja kulifungua kwani eksirei inatumika. hata hivyo jana makontena 6 yenye hati za kufoji yalikamatwa getini na mizigo kanyaboya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hii ni hatua kubwa sana kwa serikali yetu hii iliyojaa udanganyifu wa hali ya juu lakini nna maswali machache tu ya kujiuliza hicho chombo kikishakagua na kukuta mizigo siyo iliyotarajiwa hatua inayofuata inahusisha watu? katika kudocument hizo taarifa? jibu kwa asilimia kubwa hapa nadhani ni ndio sasa hawa watu nao wanakuwa controlled vipi?

    ReplyDelete
  2. Michuzi umejifunza nini hasa unapotoa mada kama hizi? uchangiaji unakuwaje?

    ReplyDelete
  3. Aloo yakhe hii serekali yafikiria nini haswa maana madawa hospitali hakuna si wangeli nunua Ambulance kwanaza watu wafa kwenye baithkeli na peekup za nyanya dhikitokea ajali alo hii ndio laana hii. watu walala chini hospitali semeni nyie alo maana nikisemamie mhogo nna madhidhi....mpemba mie bora nijikalie kimya weeeeeee aka Bwana Nchuzi wewe wao ndivo hivi mbona huendi piga picha Thpitali watu walala chini wapiga picha vigori tuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...