hili ndilo daraja lipitalo juu ya mto rufiji na limepewa jina la benjamin mkapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. lilijengwa lini hili daraja?

    ReplyDelete
  2. Kabla ya uchaguzi mkuu wa 2005.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 01, 2006

    alianza kwa mbwembwe za kukataa sura yake kwenye noti, mara akajisahau, shule zikaanza kuitwa jina lake, barabara, mara daraja. Mwisho utasikia airport ya lindi/mtwara au bandari ina jina lake, disgusting. Tusubiri kikwete(s) nyingi tu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 01, 2006

    aahaa kaka anony hapa juu....sio mbaya mtu aliyelitumikia taifa tukimkumbuka kwa kuzipa sehemu fulani jina lake.ila umegundua kuwa ali hassan mwinyi sio nyingi,mimi najua ile barabara tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...