Home
Unlabelled
daraja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
lilijengwa lini hili daraja?
ReplyDeleteKabla ya uchaguzi mkuu wa 2005.
ReplyDeletealianza kwa mbwembwe za kukataa sura yake kwenye noti, mara akajisahau, shule zikaanza kuitwa jina lake, barabara, mara daraja. Mwisho utasikia airport ya lindi/mtwara au bandari ina jina lake, disgusting. Tusubiri kikwete(s) nyingi tu.
ReplyDeleteaahaa kaka anony hapa juu....sio mbaya mtu aliyelitumikia taifa tukimkumbuka kwa kuzipa sehemu fulani jina lake.ila umegundua kuwa ali hassan mwinyi sio nyingi,mimi najua ile barabara tu.
ReplyDelete