si london marathon tu inayotamba, hata sie tunayo kilimnajaro international marathon. hata hivyo ni wakenya tu wanaoshinda, kama ilivyo ya london

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. bwana michuzi unaweza ukapata mtu wa kufanya research kujua iwapo east africa federation itaunganishwa kesho, pamoja tutakuwa kama na medali ngapi za oympic na commonwealth? Mimi naona Kenya, Uganda na TZ pamoja tutakuwa untouchable kwa michezo, utalii na hata kiuchumi. Hopefully nitaishi kushuhudia.

    ReplyDelete
  2. hata mkiungana,mchango wa tanzania utakuwa nini kwenye michezo?
    kama hata hiyo marathon hapo wanashinda wakenya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...