Home
Unlabelled
ndo maisha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
aisee hawa ndo wakifika kijijini toka town wanapokelwa kwa vifijo na nderemo huku alichokiletwa kikibaki kuwa UTATA wa kudumu.
ReplyDeleteNaunga mkono hoja ya hapo juu. Hii picha inaeleza mengi juu ya nafasi ya wanawake na wanaume katika jamii.
ReplyDeletesawa na wewe tu, utakapotoka huko ughibuni utaleta utata wa kudumu pia, zaidi ya raba mtoni
ReplyDeletehuyu mzee anaonesha ni mlevi kupindukia na hapa anatoka kunywa Mbege.....sema jamani hilo kijani mmnaliona?mazingira boraa kabisa kwa mtanzania
ReplyDeletemjombake ndesanjo huyu,anapenda mchelena na chapati huyo, yuko radhi kuuza kihamba.
ReplyDelete