toka shoto mama shamsi nahodha, mama anna mkapa, mama anna kilango malecelea, mama shadya karume na mama regina lowassa siku ya sherehe za miaka 42 ya muungano ikulu dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. mama hawa + mama salma kikwete ndio wanaoamua nchi ielekee upande gani.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 01, 2006

    This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 01, 2006

    michuzi unatufanya tutamani kujua ndugu yetu hapa juu aliandika nini?????tupe hint basi alitukana au?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 01, 2006

    Upewe hint gani wewe, acha ushabiki usio na maana, nyie ndio wale usione kichaka tu teyali mavi yanakubana

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 01, 2006

    Wee Michuzi hata ufute mara 100 + 4, narudia kusema kwamba hao akina mama ni wahusika wakuu katika wizi, ufujaji wa mali ya umma na rushwa. Haswa Limama Mkapa!! Huwezi kuamnini kuwa hadi hivi leo akina mama Mwinyi wakienda saluni wanaongozwa kwa magari ya polisi na ving'ora juu!! Kwa nini wasiende Bwejuu au Stone Town kuishi kama mama Maria Nyerere alivyofanya kuishi Butiama?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 01, 2006

    Wengine walipewa hata ubunge wa kuteuliwa ili waweze kutuibia (mama Malecela). Huyu mama Mkapa hakuna aliyempa kura katika wadhifa wowote wa umma au serikali. Kuwa mke wa rais imekuwa kama leseni ya kuwaibia wanyonge. Amejinufaisha yeye, mume wake, watoto wake na ukoo wake mzima at the expense of Walala hoi.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 01, 2006

    Hizi roho zenu za korosho zitawaua

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 01, 2006

    mimi ninasema jambo moja jamani,usenge wa kuona wachache wanatajirika kisa tu ni mke wa msenge flani serikalini,mi ntafyeka mtu tu siku moja...ohooo

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 01, 2006

    Huwezi kufyeka mtu, kama roho inakuuuma zaidi na wewe olewa na hao unaowaita wasenge ili na wewe utajilike. Vinginevyo kagombee hata udiwani uone kazi ya kushawishi wana INJI ilivyo NGUMU. Na takirima imefutwa sijui utawashawishi vipi, labda uwape ndogo

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 01, 2006

    Halafu bado vilevile watadai usawa wa kijinsia. Hivi ushaona waume wenye wake maafisa wa juu serikalini wakikusanyika kimbelembele na kujipa umuhimu mbele ya kadamnasi ya umma kama hawa akina mama? NASEMA WAACHE KUJIFANYA WAO NI MUHIMU KWA WATANZANIA KWA VILE TU WAUME ZAO NI MARAIS, MAWAZIRI AU SIJUI VITU GANI!! HII ANASA YOTE WANAYO-ENJOY TUNAILIPIA SIYE WALIPA KODI TENA NA MABILIONI YETU WANAYOTUIBIA!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...