tx moshi william (marhum) akikata utepe kufungua rasmi saluni ya ck ama 'chama kubwa' ya medi mpakanjia (nyuma ya tx) na kushuhudiwa na promota juma mbizo, misambano (pili kulia) na mwimbaji jumbe. hapo ni shekilango, sinza, kabla ya ajali mwaka jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. hivi kweli kufungua kisaluni hiki kulikuwa hiki ndio lazima kuwe na kundi lote hili la watu...hizi ndio tabia tunazozientertain siku hizi na zinatuchelewesha kuendelea....harusi moja vikao 100.kuna siku nimesoma kwenye gazeti rais karume kaenda kufungua bomba chakechake.siku nyingine nikasoma rais mkapa kaenda italy kufungua jengo la ubalozi.guys lets take it easy!!!!lets insist on quality sio visherehesherehe hivi.

    ReplyDelete
  2. Michuzi vipi leo hujaenda ofisini kwako nini mbona picha hamna broo?

    ReplyDelete
  3. tena jamaa huyu anauza unga, anazuga na vinyozi,

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 01, 2006

    hahah anony wa kwanza unanichekesha. Wazanzibari si unawajua tena, haukumbuki habari za SMZ miaka ile?

    Bado watanzania tuko kwenye mode za furaha furaha tu za uhuru! Tuwalete wachina watupige hamsha ishirini. Lakini ndiyo hivyo, ukipiga mzigo masaa 20, majambazi yanakuja kuchukua 'chao' na kukutoa roho.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 01, 2006

    huyu jamaa naye ni mwizi tuu mwenzao mmoja aliuawa mwaka jana.

    yaani ni lijitu lishamba tuu lilimbukeni lijamaa la ajabu ajabu tuu.

    yaan hii tanzania yetu sijui majitu kamaa haya, yanatakiwa yatiwe mbaroni.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 01, 2006

    ukisema hivyo jamaa wanasema eti wivu, au unapakazia watu.
    kwani kazi ya revenue nini? wapewe uwezo wa kuinvestigate kama nchi nyingine, kipato cha mtu kijulikane wazi kwa serikali.
    uwezi kuwa na vinyozi na sijui biashara gani mbuzi ukawana na mamilioni, lazima serikali ijui unapataje unanyoa wangapi?,, TZ amkeni jamani! hawa ndio wezi wenyewe!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 01, 2006

    mbona mi nilishasema zamani kuwa jamaa jambazi watu hawaelewi...jamaa ana vihiace kila njia ya bongo halafu anaviita ''kitendawili'',sasa hayo si matusi ya rejareja,kuwa anawaibia halafu watu mmeshindwa kutegua kitendawili hicho....
    lakini nae majambazi wenzie watammuwahi tu ipo siku

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 02, 2006

    MICHUZI NAOMBA TUWEKEE PICHA YA RICHARD PAUL YULE JASUSI ALIYEKAMATWA ARUSHA JUZI, BAADA YA KUTAJWA NA JAMBAZI MWENZIE KUTOKA NCHI JIRANI YA KENYA.

    NIMEFURAHI SANA POLISI WALIVYOFANYA KAZI YA KUMVUNJA MAPUMBU.

    KILA MWIZI ANASIKU YAKE NA HUYU MPAKA NJIA NAYE PIA ANASIKU YAKE.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 30, 2006

    Yaani sijawahi kuona mtu akatolewa jazba namna hii. Huyu jamaa ni jambazi kweli au ndo hivyo mishen town nyingi sana kawatapeli tapeli watu mjini.

    ReplyDelete
  10. Michuzi,

    Watu wengi tunasoma hii safu lakini hatuelewi maana vitu vingine unatufumba mno....

    Mfano hiyo picha unapoandika kwamba "hapo na kabla ya ajari mwaka jana" unamaanisha nini? Maana wengine tumetoka Tanzania kabla ya mwaka jana na ajari zilizotokea mwaka jana sidhani kwamba hata wewe uliyeko hapo kuwa unazikumbuka zote....hivyo naomba nikuulize una maana gani unaposema hivyo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...