klynn (shoto) basila mwanukuzi (kati) na bi. mchatta wakipozi kama wapambe wa harusi ya khadija mwanamboka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Bwana harusi ni nani mbona ujaweka snepu yake!!! Lakini hawa warembo wetu wamependeza sana...I. Mgwasa

    ReplyDelete
  2. Michuzi:
    Unatuchanganya unaposema Klynn (shoto). Unapoweka hizi picha fikiria msomaji atakavyoiangalia kwa sababu Kylnn ni huyo wa kulia.

    ReplyDelete
  3. jamani, huyu dada klynn ni mzuri kweli. harusi hiyo ilifanyika ukumbi gani? huyo basila anaonekana kachoka

    ReplyDelete
  4. Basila amekuwa ka Whitney Houston, kanyaukaa

    ReplyDelete
  5. Bwana harusi anaitwa Ibrahimu Goebles.

    ReplyDelete
  6. anyauke mara ngapi basila???? hakuwa kuwa mzuri bwana kyln ndio kiboko ya mamiss wote

    ReplyDelete
  7. Mercy Galabawa aliibiwa ushindi na K-lynn mi mpaka kesho naamini hivyo. Mercy alikuwa ananivutia sana yule mdada, nitafute mercy.

    ReplyDelete
  8. wamechukiza, yaani na u~designer wote huo Khadija alishindwa kuwatafutia nguo za maana hao ma brides maids?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...