Home
Unlabelled
kwame
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mkomunisti huyu hakuwa nafaida yeyeote zaidi ya kuleta matatizo.
ReplyDeletemawazo yake yalikuwa kuiuunganisha africa yote kama taifa moja, ambacho hata mwalimu alikataa mtazamo wake, mkali wa kisovieti.kansa ikamamua, baada ya kupinduliwa sana tuu.
je nani anapenda ukomunisti?
moja ya marais kichwa wa kati huo.
Nimesoma shajara ya Hayati Kwame Nkrumah na mwezi uliopita gazeti la New African lilikuwa makala maalumu ya Hayati Nkrumah. Nashauri ambao hawajapata kuisoma makala waisome, ni nzuri kwa marejeo ya kihistoria.
ReplyDeleteMiye siupendi ukomunisti kama nisivyokipenda kifo lakini siupendi ubepari bila mitaji kama ninavyouchukia ukomnisti.
F MtiMkubwa Tungaraza.
Hivi nini tofauti ya mkomunisti, msoshalisti, mjamaa, M-Marx (mfuasi wa falsafa ya Karl Marx)?
ReplyDeleteGazeti la New African linapatikana kwenye maduka ya vitabu mengi ughaibuni, na kama hakuna nakala muulize muuza duka akuagizie kila mwezi. Mimi nimefanya hivyo na huipata nakala bila kukosa. Vinginevyo unaweza kujiandikisha kwa malipo kidogo na kutumiwa kwa njia ya posta au kuwa na password na kusoma nakala zote kupitia tovuti ya gazeti hilo kwenye kiungo hichi:
ReplyDeletehttp://www.africasia.co.uk/newafrican/
Toleo analozungumzia FM Tungaraza ni NewAfrican Toleo la February 2006 No 448.
Toleo ambalo lilichapisha mawazo ya waafrika waliofahamiana na Nkrumah ili kumuenzi mwanamapinduzi huyo. Mmoja wa watu ambao walinukuliwa ni Mwalimu Nyerere kama alivyosema katika risala yake aliyoitoa huko mjini Accra, Ghana tarehe 26 Machi 1997.
Katika risdala hiyo pamoja na mambo mengine alieleza sababu za kushindwa kuiunganisha Afrika kama ilivyodhamiriwa wakati wa mkutano wa mataifa huru ya Afrika wa mwaka 1965 huko Accra. Nanukuu Ukurasa wa 22, wa New African:
Kwame Nkrumah was the great crusader of African Unity. He wanted the Accra summit of 1965 to establish a union government for the whole of independent Africa. But we failed. The one minor reason is that Kwame, like all great believers, underestimated the degree of suspicion and animosity which his crusading passion had created among a substantial number of his fellow heads of state. The major reason was linked to the first: already too many of us had a vested interest to keep Africa divided.
Prior to the independence of Tanganyika I had been advocating that East African countries should federate and then achieve independence as a single political unit. I had said publicly that I was willing to delay Tanganyika’s independence in order to enable all the three mainland countries to achieve their independence together as a single federated state. I made the suggestion because of my fear – proved correct by later events – that it would be very difficult to unite our countries if we let them achieve independence separately.
HAWA NDIO WALIOJI-DEDICATE KWA AJILI YA MAISHA YA VIZAZI VIJAVYO!
ReplyDeleteTANGU WAONJE NYAMA YA MTU KONGO HAITATULIA MILELE!