nancy na nduguze

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. wasichana nimewapenda kwakweli mmependeza.

    ReplyDelete
  2. huyo wa nyuma kabisa ndo mmeru kabisaaaa, angalia meno yake.

    ReplyDelete
  3. huyo hapo nyumba ni suzi sumayi.

    ReplyDelete
  4. kwa kweli bongo kuna warembo wazuri tu.

    ReplyDelete
  5. yanakula haya, yaone

    ReplyDelete
  6. jamani mbona kama unaona donge?acha watu wale vyao

    ReplyDelete
  7. michuzi, tupe basi majina ya hawa wasichana kutoa nancy, maanake wengine tunakuja bongo kutembea this summer.nimevutiwa sana na hawa warembo.

    ReplyDelete
  8. Very beautiful ladies.

    But by American Beauty standards, they have put too much food on their plates. I'm not kidding, there is so much Anorexia and Bulimia here in USA by women wanting to look like living skeletons. It's pathetic.

    Best Wishes to all in the upcoming pageant.

    ReplyDelete
  9. mamisi wetu wanapenda pilau na ugali sana tu

    ReplyDelete
  10. let them eat for god grace, americans are know for eating super portions if its tough for them there other avenues ie going under the knife,lipo suction et al. poleni for the typo

    ReplyDelete
  11. lazima tukubali bongo kuna watoto sioni hata aliyepakua chakula cha kutisha hivyooo na miili si ya kutanuka hiyo acheni maneno bwana USA hata ukikaona kabinti kana miaka 13 unaanza kukaonea huruma maana manyama uzembe yashaanza kutinga kutafuta mwelekeo wake.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 15, 2006

    MMM!NANCY,SURA IMETULIA,INAITA!HAWAKUKOSEA HAKIKA.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 19, 2006

    nancy ni mzuri,hivi ni nani anayejifunika hapo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...