Home
Unlabelled
mama wa kwanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
uhuu mpango wa kutafsili kiingereza kwenda kiswahili ata haulipi nini maana ya mama wa kwanza? wewe ita first lady. Mama wa kwanza wa nani? Aende zake kule.Kila mtu ana mama.
ReplyDeleteBwana Michuzi, tunashukuru kwa picha hizi nzuri. Ila burudani ya kutembelea blogi hii huwa inaharibiwa na watu chuki na lugha mbovu kama ya huyo mwandishi wa hapo juu. Kweli hii ndio madhara ya demokrasia ya Internet ambapo tunajikuta tunaingia ukumbi mmoja na watu wasiostahili kuwemo kabisa. Keep up the good work and dont be deterred by some those ignorant urchins.
ReplyDeletehao ndo wenye chuki zao MICHUZI WEWE FANYA MAMBO ACHANA NA WATU WASIO NA MPANGO NA MIDOMO YAO MICHAFU.
ReplyDeleteKUNA MTU AMEMLAZIMISHA AMUITE MAMA.
mchangia hoja wa kwanza kasema kweli uhuu mpango wa kuitana mama wa kwanza wala haupendezi kabisa bora tuitage first lady.
ReplyDeletenyerere baba wa taifa tukimuita huyu mama wa kwanza na mama maria tumuitege? zamani wengine walikuwa wakiitwa au kujiita watukufu haya ndo maajabu mtukufu ni mungu tu.wengine wamekaa na kukurupuka na kutaka kumuita nyerere mtakatifu kweli tunaelekea kubaya.sifa za nini au ndio kujikomba.kingine inaoneshaga kwamba afrika tupo huru kwenye internet tu kwani mtu auwezi kupingana na mwenzio.mambo mazuri yanakujaga kwa kutoanaga kasoro sio misifa tu.Kamugisha
tunatakiwa tuwachachafya viongozi wetu na sio kuwasifia kila kukicha. ndio maana viongozi wetu wakipata madaraka wananenepeana, wa wenzetu ughaibuni wanaota mvi.mwangalie JOJI BUSH alivyochoka, CHIRAC, BLAIR. viongozi wetu wanapenda sifa kaa wacheza mpira.jamjua
ReplyDeletewasipate mvi mchezo wakati kila wakiamka
ReplyDeletewana kitimoto cha kujieleza hata kama ni mtoto mdogo anamuuliza swali ana haki zote kujibiwa ipasavyo,siyo wetu wakiulizwa kidogo tuu pressure juuu(na ambapo ni once a yr) anaanza kurusha mikono kashadata na anadhani anajidefend kwa kufanya hivyo kumbe mchoro tuu maana ''HAWAKULELEWA HIVYO"
mchangiaji no. nne nimekupata sana ni kweli kama mama K ni mama wa kwanza mama jkn tumwitaje jamani mbona tunachanganya mambo....ila na wewe ga ga zimezidi tusemage! mara yanakujaga! mtu wa wapi hebu nikumbushe kidogo wa ismikinyi nini?
ReplyDelete