mnenguaji katika jangwa la dubai na mie

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Duuuuu msichana kajaza anapiga zoezi anaingia ukumbini si wa kwetu vitumbo ndiiii ananengua akimaliza anapiga bia na nyama bila vipimo anadai kazi na dawa...wanenguaji wa bongo mjifunze basi
    nashukuru michuzi umeonyesha hii waweza kuwasaidia kama wanaakili

    ReplyDelete
  2. hili ni dume.

    ReplyDelete
  3. Ingekuwa Marekani ningesema Tranny

    ReplyDelete
  4. kaungua moto usoni huyu. jamjuah

    ReplyDelete
  5. Kwani michuzi amesema kwamba ni mwanamke? Si hata mwanaume anaweza kuwa mnenguaji? Au?

    ReplyDelete
  6. Michuzi Michuzi!hivi umemchunguza huyo ni jinsia gani?Chukua tahadhari bro,Utafedheheka kaka halafu iwe taabu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...