nakumbuka ni mwaka 1989 na mwezi kama si juni basi agosti, ila jina la huyu jamaa limentoka. mtimkubwa nisaidie!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Babu Michuzi, this what I call waaay back in the days. You still look peachy man.

    ReplyDelete
  2. Hilo bag bado unalo?Where is Amasha?

    ReplyDelete
  3. that they call old good days.old school

    ReplyDelete
  4. Mimi nimeuona mkanda wa utambi tu.

    ReplyDelete
  5. du, mzee hapo longi taimu!

    ReplyDelete
  6. picha safi sana hii

    ReplyDelete
  7. samahani bro michuzi sasa una miaka mingapi? mbona hiyo picha kama uko 18-20 hivi na ni mwaka 1986 twenty yrs now!!!! keep it up man u look good.....

    ReplyDelete
  8. Bado natafuta jina la wa pili!

    Nitakustua kwa text message,

    F MtiMkubwa Tungaraza.

    ReplyDelete
  9. enzi hizo hapo we ndo bishoo mnazikumbuka laba mtoni za enzi hizo?

    ReplyDelete
  10. MtiMkubwa we si una kabrogi mbona uwekagi jina lako na unaweka jina chini tu.big up much respect.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 13, 2006

    MICHUZI,HAKUNA RAHA KAMA KUANGALIA PICHA ZA ZAMANI(CHEKECHEA,MSINGI,SEKONDARI NK.)ZINAKUMBUSHA TULIKOTOKA!
    KEEP-IT-UP!

    ReplyDelete
  12. ANCO MICH SINA LA KUSEMA ,SINA-SIKUWEZI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...