Home
Unlabelled
profesa na inspekta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hizo cheni na mikufu zinanikera..ni za utamaduni wa nani?Hawa si ndio "kioo cha jamii"?Wanaiwakilisha Tanzania,Afrika au New Orleans,Marekani?
ReplyDeletehawa wamesalimika na katrina kule new orleans,waliwahi kujihifadhi kule supadomu.
ReplyDeleteeti vipi profesa j ni kweli pale supadomu mlikuwa mnajisaidia kwenye vifuko vya rambo baada ya toileti kuziba?
hivi jamani utamaduni wetu ndiyo upi huo? kuvaa baibui au?
ReplyDeleteNi jambo la kusikitisha sana kuona ni jinsi gani wasanii watanzania walivyo malimbukeni !
ReplyDeleteCheni, Tatoo, kusuka ntwele , herni kwa wanaume sio tamaduni zetu kabisa , kwenye maisha ni vizuri kukopi mambo ya maana !
Kuna mengi tu ambayo sio utamaduni wetu. Wizi wa fedha za serikali, mikataba bandia kwa 10%, uzinzi na wake au waume wa watu kwa kutumia vyeo vya maofisini, Rushwa na ufisadi, ununuzi wa mashangingi na watu wanakufa kwa njaa, kusomesha watoto wako nje ya nchi kwa pesa za rushwa na maskini wanakosa hata madawati.
ReplyDeleteTuanze kujadili haya kuwa sio utamaduni wetu, kabla hatujaenda kwenye mikufu na tatoo.
Mti Mkubwa najua unaniunga mkono.
Hata mimi nakuunga mkono anony wa mwisho hapo. Tunapoteza muda mwingi kujadili nywele na hereni na nani ana sura nzuri. Kwa mfano: kusuka hata wamasai wanasuka, Kuvaa hereni: wamasai wanavaa hereni, tatoo: wamakonde, wagogo na wahehe wana tatoo (wagogo wanaiita 'ndonya' iko kwenye paji la uso, wamakonde wamejichanja uso, wahehe wanazo pembeni mwa macho yao)
ReplyDeleteNdaga fijo Mwaipopo, takwimu ni za uhakika nafikiri mjadala umefungwa. Mwenye kutaka kuvaa na avae. Ila bila shaka kwa maoni ya Ndesanjo kwenye guardian ya leo mjadala ndio umeanza.
ReplyDeleteHe Mbona Harun kamlalia Profesa, kunani paleee!!
ReplyDelete