toa maoni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. maoni yangu kwa mujibu wa picha ni kupendekeza ndani ya hilo jeneza azikwe nani..ukimwi au mtu? kama ni mtu azikwe huyo aliyekaa kwenye meza mwishoo.

    ReplyDelete
  2. Aroo Anonymous

    Nataka unieleze nielewe kwa nini usizikwe wewe badala ya yule njemba?

    ReplyDelete
  3. aroooo nyie, sijawahi kusikia mtu kazikwa kwenye geneza, au ni rabda huko kwenu majuu.
    rakini hapa tunzazika kaburini, aridhini.

    ReplyDelete
  4. Kwa kweli inasikitisha kuona majina ya watu waliokufa kwa UKIWMI kwenye hiyo jeneza. Watu wanakufa kila siku na wanaambukizwa kila siku.

    Halafu tatizo lingine watu wamerudia tabia zao mbaya za kutembea ovyo ovyo, eti kwa vile kuna dawa ya kutibu. Jamani hizo dawa zinasaidia watu waishi maisha marefu, na zina madhara zake lakini siyo tiba. Hapa tunaona watumia dawa wakiota manundu, kuwa na rangi ya zambarau, kuharisha mara kwa mara na mengine.

    Hata hapa USA tunaona watu wanakufa na UKIMWI pamoja na kuwa kuna dawa! Kwa wengine hazisaidii kabisa. Kwa kweli kutokujihadari ni sawa na kucheza kamari!

    ReplyDelete
  5. kwa ukweli FAT imekaa kimnya kama haioni kama inahitaji kufanya kitu fulani? timu ya Taifa ya Tanzania 15 yaears ago karibia yote imekufa kwa ngoma
    Kweli wanahitaji fedha za kigeni kuanzisha campaign ama kujihusisha na zilizopo?
    I was supprised nilipoiona timu ya taifa ya hapa UK iliyochukua ubingwa wa dunia 1966 mmoja tu ndo amekufa kwa cancer
    mnatakaje kumkamua ngombe bila kumpa majani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...